Tunapiga picha. Wewe unang'ara.
Jinsi tunavyofanya kazi, na masharti unayopaswa kujua kabla ya kuweka booking.
Kila tukio ni la kipekee.
Tunaamini picha nzuri haipigwi tu - inaundwa kwa kusikiliza, kupanga na kuwa makini na kila hisia ndogo ya siku yako.
Ndiyo maana Tycoon Media inakupa kila kitu mahali pamoja: kamera, video, graphics, uchapishaji na fulana, chini ya kiwango kimoja cha ubora.
Rahisi. Wazi. Ya kitaalamu.
- 01
Wasiliana
Tuandikie WhatsApp au piga simu, tuambie tukio au huduma unayohitaji.
- 02
Weka Booking
Lipa booking fee ya 30% ili kufunga tarehe yako.
- 03
Tunapiga Kazi
Tunapiga picha/video au kubuni kazi yako kwa umakini wa hali ya juu.
- 04
Pokea & Ng'ara
Kazi kamili inakabidhiwa ndani ya siku 7-14 baada ya malipo kukamilika.
Taratibu za malipo
Taratibu za malipo
Mteja anapaswa kulipia asilimia 30% ya package aliyochagua ili kuthibitisha tarehe ya shughuli. Tarehe haitahifadhiwa bila deposit.
Mteja anapaswa kukamilisha malipo ya package husika siku ya tukio.
Masharti na taratibu muhimu
- Booking fee hairudishwi endapo mteja anafuta booking, inaweza kuhamishwa kwenye tarehe nyingine kama Tycoon Media itakuwa available.
- Final edited videos/photos zitatolewa baada ya malipo yote kukamilika.
- Kazi yote itakamilika na kukabidhiwa kwa mteja ndani ya siku 7-14.
Tayari kung'ara?
Weka tarehe yako leo kabla haijachukuliwa.
Weka Booking Sasa