Photo Studio • Graphics • Printing
Tunapiga picha, wewe unang'ara.
Kutoka harusi na matukio ya kifahari hadi graphics, uchapishaji na fulana zenye chapa yako - kila kitu mahali pamoja, kwa ubora wa kitaalamu.
REC00:00:00
f/1.81/250ISO 100
Kumbukumbu zinazodumu milele
4Vifurushi vya picha & video
6Huduma kuu
30%Booking fee kufunga tarehe
14Siku za juu kupokea kazi
Sisi ni nani
Tycoon Media ni studio ya picha na ubunifu inayogeuza siku zako muhimu kuwa kumbukumbu zisizofutika - picha, video, graphics, uchapishaji na fulana.
Kila kitu cha ubunifu, mahali pamoja
Huduma zote- 01 Upigaji Picha Harusi · Send-off · Kitchen party
- 02 Video & Muhtasari Highlight 1-5 dk · Pre-Wedding · Drone
- 03 Graphics Design Nembo · Mabango · Flyers
- 04 Uchapishaji Banners · Business cards · Brosha
- 05 Fulana za Kuchapisha Timu · Harusi · Kampeni
- 06 Albamu & Fremu Photo book · Albamu · Picha Mbao
Chagua kifurushi kinachokufaa
Linganisha vifurushiBASIC
kuanzia
TZS 550,000
- Flash Disk 32Gb
- Albamu ya Picha (picha 80)
- Fremu ya Mbao A3 (Picha Mbao)
- + 2
STANDARD
kuanzia
TZS 850,000
- Flash Disk 2 za 32Gb
- Albamu ya Picha (picha 120)
- Fremu 2 za Mbao A3
- + 5
PREMIUM
kuanzia
TZS 1,200,000
- Flash Disk 3 za 32Gb
- Photo Book (kurasa 20)
- Fremu za Mbao A2 na A3
- + 5
PREMIUM VIP
kuanzia
TZS 1,600,000
- Drone
- Flash Disk 3 za 32Gb
- Photo Book (kurasa 20)
- + 6
Kila fremu inasimulia hadithi
Ona kazi zoteRahisi. Wazi. Ya kitaalamu.
Soma zaidi- 01
Wasiliana
Tuandikie WhatsApp au piga simu, tuambie tukio au huduma unayohitaji.
- 02
Weka Booking
Lipa booking fee ya 30% ili kufunga tarehe yako.
- 03
Tunapiga Kazi
Tunapiga picha/video au kubuni kazi yako kwa umakini wa hali ya juu.
- 04
Pokea & Ng'ara
Kazi kamili inakabidhiwa ndani ya siku 7-14 baada ya malipo kukamilika.
Tayari kung'ara?
Weka tarehe yako leo kabla haijachukuliwa.
Weka Booking Sasa